Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huu mchezo hauhitaji hasira lakn kuna mda mmmhh unashindwa kujizuia

Ebu ona jana ucku nna mkeka ulikua imebaki mechi ya brighton tuu ili nile mpunga na nlimpa ashinde
Kabla mechi haijaanza nkapata wasiwasi
Nkazama online nkamuua kwny mkeka wa timu 1 ili akizingua ule wa kwnza ntakula huu wapili
***** wahal si amedroo

Imebidi nicheke tu[emoji3]
hahahahahaa same scenario mie pia kaniuwaa
 
point 12 hizo wadau....ashinde yeyote
 

Attachments

  • du.png
    du.png
    4.7 KB · Views: 44
Zidisha hizo odds 1.83 x 2.25 = 4.12

Ili kuamini kuwa mkeka wangu ulikuwa wa timu mbili tu kama nilivyopost. Half chukua 45000 x 4.12 utoe kodi jibu lake ni 160000 hapo utagundua nimetengeneza faida 160000-45000= 115000
Naombeni tuwe tunaaminiana yaani mm huwa mnanituhumu mpaka nawaza naingia JF kwa manufaa ya nani?

ANGALIZO: HUWEZI KULA KILA SIKU JAPOKUWA UNAWEZA KULIWA KILA SIKU

Pole mkuu, Watu wanatofautiana......Ila kwa ushahidi huo, Wamekuelewa sana....Wasamehe bure, hahahahhahahhaha......

Mimi bila hata Screenshot, Nakuamini sana.

Pamoja Kiongozi.
 
hahaha
Ipo siku nitazipunguza nicheze timu 10 af nitupie jiwe (100K) nimshangaze baniani ... heheheh[/QUOTE
hahaaa leo unanichekesha hatarii tumia mikeka yako humu leo nikufaate mzeir
 
wazee wenzangu wa kuweka MIZIGO nataka kujiunga na MERIDIANBET online....tayari nimejisajiri ila naambiwa akaunti yangu bado haijawa active. ili iwe ACTIVE nifanyaje wadau maaana nimejaribu kudeposit hela lakini pia nimetakiwa niingize ACCOUNT ID kwenye muamala huo. sasa hii ACCOUNT ID mimi nitaipata wapi? msaada wenu tafadhali.

Account ID huwa wanaituma kwenye Email yako(uliyoIandika)....

Vinginevyo, Wapigie tu....Mambo yatakuwa Murua.
 
buddy hizo za AFC zitashnda keel??



Nilimpa Melbourne Victory & Shanghai SIPG ... lakin sasa hazina maana, mkeka ushachanika. Kama umefuatilia hii Asia Cup, timu za Japan zimeangukia pua sana ... huyo FC Tokyo nadhani nae anakamilisha ratiba leo. Ila waKorea wako vzr sn, so Melbourne Victory ana kazi kubwa kwa Jeonbuk FC
 
Swali,.. hiv premier betting option ya kushinda yoyote ni ipi wakuu?? Pamoja na +2 na underscore
 
Sisi tuliobet kwa man u juz inakuaje wadau???



Mara nyingi mechi ikiwa postponed (kwa Meridianbet) wanakupa odd ya 1 ... ili hesabu kwa mechi zilichochezwa ibaki vile vile coz 1 x Anything = Anything
Kwa mkekabet, sikumbuki vizuri lkn nafikiri na wao wanafanya km meridianbet. Wanai-disregard hiyo mechi (= 1 odd).
 
Mara nyingi mechi ikiwa postponed (kwa Meridianbet) wanakupa odd ya 1 ... ili hesabu kwa mechi zilichochezwa ibaki vile vile coz 1 x Anything = Anything
Kwa mkekabet, sikumbuki vizuri lkn nafikiri na wao wanafanya km meridianbet. Wanai-disregard hiyo mechi (= 1 odd).
Nimekupata chief
 
Wakuu,Vipi Man U leo? Option ya magoli vipi? Wanaweza fikisha 5+ kweeeli! Hahahahhahahahahh
 
Back
Top Bottom