Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Msimba wa wengi ....sherehe.... Dah ....wa Romania kama waitalia manina walahi......
Option gan Hui 2+
..sema haiumi saaana tukifa wengi 😀😀
Mechi 12 bado safari....Kwamba kifo cha wengi ni sherehe [emoji28][emoji28][emoji28] ... Mi nina mkeka mmoja nliunganisha na timu za kesho bado unapumua, nauskizia [emoji5][emoji5]
Una timu 19, 7 zimeshatiki bado 12 ... daah ingekuwa ni Meridianbet wallah ningeuturbo lkn mkekabet hawana hiyo option. Kuna kukawa na mchawi kati ya waliobaki
Wadau mbona mkekabet wanakua na mechi chache sana kwa siku inakuaje hapoKwamba kifo cha wengi ni sherehe [emoji28][emoji28][emoji28] ... Mi nina mkeka mmoja nliunganisha na timu za kesho bado unapumua, nauskizia [emoji5][emoji5]
Una timu 19, 7 zimeshatiki bado 12 ... daah ingekuwa ni Meridianbet wallah ningeuturbo lkn mkekabet hawana hiyo option. Kuna kukawa na mchawi kati ya waliobaki
Zinazokaa kwa juu n baadhi tu ili upate zingine inabid uende kwenye lig husika pamoja na hayo mech zao n chache ukilinganisha meridianWadau mbona mkekabet wanakua na mechi chache sana kwa siku inakuaje hapo
Tuesday 17.05.2016
********************
Warriors FC vs Tampines Rovers FC
Tip: GG
Odds: 1.50
Xamax vs Lausanne
Tip: GG
Odds: 1.60
Wadau mbona mkekabet wanakua na mechi chache sana kwa siku inakuaje hapo
M
Mechi 12 bado safari....
Wachawi hawa wamgekuwa wanakaa mwishoni au mwanzoni.... Tatizo wanakaaa katikati.... Dahhhh poa bana ...kaaaccount pyeeeee .......
Hakuna option rahisi kwenye betting....inategemea huu ni mchezo kubahatisha ligi za Australia nadhani inaongoza kwa kuwa na 1+ first halfWadau, hivi ni league gani inaongoza kwa kufungana kipindi cha kwanza. Nataka niwe naweka 1st half 1+ ndio option rahc iliyobaki.
Wadau, hivi ni league gani inaongoza kwa kufungana kipindi cha kwanza. Nataka niwe naweka 1st half 1+ ndio option rahc iliyobaki.
Hakuna option rahisi kwenye betting....inategemea huu ni mchezo kubahatisha ligi za Australia nadhani inaongoza kwa kuwa na 1+ first half
Wadau, hivi ni league gani inaongoza kwa kufungana kipindi cha kwanza. Nataka niwe naweka 1st half 1+ ndio option rahc iliyobaki.
Hii safari ilianza jana ... itaisha kesho. Mtaji unaelekea ukingoni, nikichezea za uso hapa hali itakuwa tete 😀😀
View attachment 348571
Kaka upo vizuri ushauri ungekuwa unaweka mikeka miwili I mean uugawe next time