Wadau nataka nijiunge mkeka bet ..sasa maelekezo yao hata sielewi hapa maana imetokea sehemu ya kuandika no ya sim na password.. sasa hiyo password nitaipataje?..msaada tafsdhari.
Wadau nataka nijiunge mkeka bet ..sasa maelekezo yao hata sielewi hapa maana imetokea sehemu ya kuandika no ya sim na password.. sasa hiyo password nitaipataje?..msaada tafsdhari.
natembelea nyota yako kwa hizo mbili za kwanzatayari nishajilipu jamani.
Cska Moscow - Krasnodar 1.73 Cska Moscow Win May 16, 2016 - 7:30 pm
Grasshopper-club - Fc Vaduz 1.62 Grasshopper-club Win May 16, 2016 - 5:00 pm
Fc Thun - Fc Sion 2.22 Fc Thun Lose May 16, 2016 - 5:00 pm
Skive - Lyngby 1.80 Skive Lose May 16, 2016 - 2:45 pm
Kujiunga Mkeka bet ni simple tu,Kwanza unatakiwa uwe na Voda laini....
Then Ingia Menu ya Mpesa nenda Lipa kwa Mpesa, Ingiza Namba ya Kampuni( ya Mkeka bet) ambayo ni 238844......kisha ingiza namba ya Kumbukumbu 123458(hii ipo constant) then Deposite kiasi unachotaka( ila kianzie 250 au zaidi).....
Sasa baada ya hapo,Mkeka bet wanasema usubiri Kama Dakika kadhaa hivi watakutumia PIN CODE(ambayo utakuwa unaingilia)
NOTE;
From my experience, nilisubiri Nusu saa nzima bt hawakunitumia.....Nilichofanya, niliwapigia.....na Wakanipa PIN CODE hapo hapo....
Ushauri;
baada ya kumaliza kuDeposite,subiri kama Dakika 5 hivi alafu wapigie,uwaombe hiyo PASSWORD.
Good nshapata sms ya pini na nime log in..bado shida inakuja kwenye kuchagua timu maana nshazoe m bet nikichagua timu naiona kwa juu pale sasa huku nikipoint timu panaweka kivuli tu hata siuoni mkeka wangu..
Thanx tupo pamoja
Jaman leo cska moscow, grasshopper na fc sion. Hapo tupiamo hata kateni unaweza ukambaka muhindi.
Ishatulia.Mkeka bet nao machoko kweli yani app yao inazingua sasa afu ndo nataka nicheze kureplace mkeka nlopigwa agrrrr yan
Bet lostJaman leo cska moscow, grasshopper na fc sion. Hapo tupiamo hata kateni unaweza ukambaka muhindi.
kweli kabisaa mzeirrHivi vichapo vitaendelea sana.... Labda kucheza magoli.... Ligi zilizobaki ni ovyo .... Norway denmark Sweden Finland Switzerland(ndio inaisha) Bulgaria Belarus Latvia Hungary ... Huko note hakuna mbabe yeyote anapigwa.... Nna shauri mcheze magoli au vyovyote ila sii matokeo ya mwisho
kpind cha kwanza au cha pilbetting ya magoal ndio kila kituu final score uzush kabisaa daahh
kweli kabisaa mzeirr
2+ iko poa zaidkpind cha kwanza au cha pil
au unamaanisha 2+, 3+.....