Option zao ndo sizielew kama meridian japo wanachelewesha ila wanaeleweka kirahis mkeka bet ni nzur kwa normal na kuwaisha pesa
Pole mkuu,hiyo imegonga mwamba wa juu.Huyu mchawiii
Meridian ni best kwenye optionsOption zao ziko wazi tu, Chukua mda kujielewesha, Hazina tofauti sana na Meridian.
game inatisha hip Como yupo chini sana last match alipigwa sa hii kwake muhimu sana.selernitana vs como hizi odds vipii mbona como anashinda kabisa ebu angalieni previos hx
ndo vizuri sasa.Naona betting companies zinashindana sana
okgame inatisha hip Como yupo chini sana last match alipigwa sa hii kwake muhimu sana.
Mkuu iyo opt ya Goal in both halves nimeipenda ngoja nitafute mtaji[emoji65]Huyu mchawiii
Kutoa haizid masaa 24 kwa tigo pesaVipi nakutoa je?au ni kuweka tu ngoja niwapitie niangalie na jinsi ya kujiunga
Trencin nahis anaweza akawa jipu maana anacheza na timu inayotaka kushuka daraja la leo ndio mechi za mwisho
- horn
- goias
- lokomotiv moscow u21
- first vieenna
- trencin
- dundalk
- ruzombaerok
- vladimir
- watters
- All WIN
Hii mechi ya Millwall Vs Bradford niliiweka bahati mbaya kumbe inachezwa Leo. Hapa naisubiri hii tu nimpige mhindi M3. Kwa walionifuata mikeka mitatu yote Jana tumekula helaGenk Y
Millwall Y
Nurberg Y
Utrecht Y
Walsall Y
Go ahead eagles Y
Chagua tatu tu
Upo vizur was kusoma [emoji109] [emoji109] [emoji109]Hii mechi ya Millwall Vs Bradford niliiweka bahati mbaya kumbe inachezwa Leo. Hapa naisubiri hii tu nimpige mhindi M3. Kwa walionifuata mikeka mitatu yote Jana tumekula hela