Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aisee imezingua tu ...kila nikiweka no inaonesha error...nimejaribu kutuma kahela kadogo cha majaribio kwenye Id no yangu na no ya kampuni naona kama nimepoteza. ..
disappointment
 
Daaah baada ya ubusy leo ckuweza kutupia. Hebu ngoja niingie chimbo nitafute hela ya ticket ya show ya Ne-Yo & Diamond - Mwanza
 
Vip uki deposit kwa mpsea inachukua mda gan kusoma kwenye a/c maana imechukua zaid ya dk 10 sasa au nimepoteza
umekosea mkuu usitumie id #yako ku deposit , ingia katika website nenda kwenye option ya deposit voda au tigo kisha watakupa namba za kumbukumbu utazitumia ku deposit
 
D
umekosea mkuu usitumie id #yako ku deposit , ingia katika website nenda kwenye option ya deposit voda au tigo kisha watakupa namba za kumbukumbu utazitumia ku deposit
Uuuu imepotea hio,sasa hizo no wanakupea wapiii sijaziona aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…