Mbona me nimedeposit saa tatu na dakika kumi na sita asubuhi hii hadi sasa haijaonekana kwenye account yangu?
Nimefuata procedure zote hizo mkuuduuuuhh mimi haijanikuta hyo mkuu,,, hakikisha umefata procedure vzr... nmeona huko juu kuna mdau kakosea ref number kaweka acc id ya acc yake...noo thats not right, nenda kwenye deposit pale chagua mtandao unaotumia tigo/voda fata process pale watakupa reference number ndo utaitumia... inshort ni kama vile mbet wanavyodeposit
Nimefuata procedure zote hizo mkuu
Premier betting bhna et kudeposit fasta tu hata dk2 haifiki
Kutoa sasa mmmmhhh nime wdraw saa saba jana mchana hadi sahv kmya
Hio imepotea pale kwenye kumb no.huwek a/c ID.nenda premier-deposit-mpesa kuna Id tranc watakupa uitumieMbona me nimedeposit saa tatu na dakika kumi na sita asubuhi hii hadi sasa haijaonekana kwenye account yangu?
ata dakika 1 haifiki,refresh hiyo pageWakuuu kudeposit hela kwenye premier bet inachukua mda gani ionekane kwenye account? maana nimedeposit saa 9:16Am hadi sasa haijaonekana na sms ya mpesa nishaipata.
Pale mechi moja tu Sagan Tosu Vs Amiya Ardija inapokunyima laki nneMkeka A.
1. Kashiwa 2+
2. Sagan Tosu 2+
3. Jeannam 2+
4. Croydon U5
5. Campbeltown U5
Tuone kama chai tunakunywa sisi au anakunywa mhindi
Mkeka B.
1. Jubilo 2+
2. Sagan Tosu 2+
3. Kashiwa 2+
Pale mechi moja tu Sagan Tosu Vs Amiya Ardija inapokunyima laki nne
Sorry!hii double chance ina maana gani?Mkuu hyo nmeivizia second half nkawapa double chance 1/2
Namsubiri yokohama atoe magoli mengi second half mmmhhh
Nmebana p*mb* hadi mwisho hapa
Sorry!hii double chance ina maana gani?
Mkuu siku hizi kitu nachoogopa sana ni kuweka timu moja kwenye mkeka zaidi ya mmoja baada ya Dortmund kunichania mikeka mitatu sku mojaPale mechi moja tu Sagan Tosu Vs Amiya Ardija inapokunyima laki nne
wazee wenzangu wa kuweka mizigo, hasa wale mliojiunga MERIDIAN BET, tafadhali naomba mnielekeze jinsi ya kuweka BONUS maana kila mkeka ninaofyatua unakuwa hauna BONASI yoyote.