Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau naombeni msaaada wa haraka jinsi ya kujiunga na mkekabet nimenunua line ya voda leo . Plz naombeni haraka msaada
 
Wadau naombeni msaaada wa haraka jinsi ya kujiunga na mkekabet nimenunua line ya voda leo . Plz naombeni haraka msaada
Lipa kupitia m-pesa dau lolote kuanzia 250, namba ya kampuni 238844 , kumbukumbu namba 123458 halaf subiri watakutumia password number baada ya hapo utakua una sign in kwa namba yako ya cm na iyo password.
 
Rangers fala sana nimembetia online dkk ya 70+ under 3.5 alikua anaongoza 2:1 nashangaa kafungwa dah kwel hasira haihitajiki
 
MAKOROKOCHO
14/14]
1222 22-05 02:15:00 Houston-Texas
Total Points[8.5] < 2.10
1221 21-05 23:10:00 NY Mets-Milwaukee
Total Points[7.5] < 1.72
1292 22-05 02:15:00 Miami Marlins-Washingt
Total Points[7.5] < 1.65
1214 21-05 23:05:00 St. Louis-Arizona
Total Points[8.5] > 2.00
1332 22-05 12:00:00 Yakult-Yokohama
Total Points[7.5] < 1.90
1331 22-05 08:00:00 Nippon HF-Rakuten
Total Points[7.5] < 1.80
1322 22-05 07:00:00 Seibu-Fukuoka
Total Points[7.5] < 1.80
1187 22-05 00:00:00 Mexico-Saltillo
Total Points[11.5] > 1.75
1500 22-05 01:05:00 Monterrey-Broncos de R
Total Points[9.5] > 1.85
2040 22-05 05:05:00 Toros de Tijuana-Aguas
Total Points[10.5] > 1.85
1212 21-05 23:05:00 Pittsburgh-Colorado
Total Points[7.5] < 2.00
1220 21-05 23:10:00 Detroit-Tampa Bay
Total Points[8.5] > 1.75
1317 22-05 05:05:00 LA Angels-Baltimore
Total Points[8.5] > 1.90
1318 22-05 05:10:00 San Diego-LA Dodgers
Total Points[7.5] > 1.90
------------------------------------------
Total: 1800.00
------------------------------------------
Total odd: 5552.86
Min win: 5000000.00
Min tax: 899676.00
Max win: 9995155.37
Max tax: 1798803.97
Max payout: 8196351.41
Combination count: 1
 
Msaada double chance kwenye premier betting siajaielewa
1x timu ya nyumbani itashnda au kutoa droo
12 tmu ya nyumbani au ugenin ishinde (kusiwe na droo)
2x tim ya ugenin ishinde au itoe droo

hizo ndio maana zake mkuu
 
hii nini mkuu basket au tupe maufundi maana hakuna namna sasa nimechoka kupigwaaa
 

Welcome back Avogradooo..asee nlikumiss sana kijiweni hapa.......baba nakufata leo.... jamani kwa wageni hii ni baseball mazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…