Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo ni siku mbaya kuliko zote .wachina wamenipa mtaji asubuhi lakini wote ushakata du
 
nawapa siri. ya baselona vs sevila. kuna mawili sevila anashinda au ngoma itakuwa suluhu. ila draw ni asilimia 67%
 
na kama kutakuwa na magoli bac baselona ndo aongoza kipindi cha kwanza kipindi cha pili senilla atarudisha yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…