Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
mmh apo total odds zilikuwa kama ngapi mkuu?yaaniiii
mmmh hapo total odds zilikua kama ngapi mkuu?yaaniiii
haya sasa majanga! wakuu, kuna aliyesalia na mkeka wowote mpaka sa hz? mm ndio namalizia kuchana wa mwisho...yote 5 imechanika bila shuruti.
Ni mwendo wa moja moja tu[emoji38][emoji38][emoji38]
Zilikuwa 4.46....... Nimezipata za semina nkatia 25.... Nifukuzie 110000..... Nkasema siangaliii mpaka asubuhi..... Uuuuwiiiiii..... Corinthians wamevuka 4.5mmmh hapo total odds zilikua kama ngapi mkuu?
Pole mdauZilikuwa 4.46....... Nimezipata za semina nkatia 25.... Nifukuzie 110000..... Nkasema siangaliii mpaka asubuhi..... Uuuuwiiiiii..... Corinthians wamevuka 4.5
Mkuu ofisi gani hiyo wanafanya semina wengine tushasahau kbsaaa magu anazingua kinyamaZilikuwa 4.46....... Nimezipata za semina nkatia 25.... Nifukuzie 110000..... Nkasema siangaliii mpaka asubuhi..... Uuuuwiiiiii..... Corinthians wamevuka 4.5
Pole sana mkuu, usikate tamaa ndio ukubwa huo.Zilikuwa 4.46....... Nimezipata za semina nkatia 25.... Nifukuzie 110000..... Nkasema siangaliii mpaka asubuhi..... Uuuuwiiiiii..... Corinthians wamevuka 4.5
Hahaahaaaaaa ....tumeitwa maafisa ushirika wa kanda ya ziwa wote mikoa 9.... Tupo shinyanga siku4.... Walau nimepata kamtaji....hahaaaahaaaaaaMkuu ofisi gani hiyo wanafanya semina wengine tushasahau kbsaaa magu anazingua kinyama
Hata mimi nilinunua kine ya voda jana nikadeposite mpaka sasa sijatumiwa sms yoyote.Lipa kupitia m-pesa dau lolote kuanzia 250, namba ya kampuni 238844 , kumbukumbu namba 123458 halaf subiri watakutumia password number baada ya hapo utakua una sign in kwa namba yako ya cm na iyo password.
Hata mimi nilinunua kine ya voda jana nikadeposite mpaka sasa sijatumiwa sms yoyote.
nimejaribu kubet nikaweka game tatu. Sikuona sehemu ya kusubmit slip.Usisubiri sms, kama umeweka dakika kumi zimepita we jaribu kubet utaona unafanikiwa, wanatatizo la kuchelewa kuonyesha pesa kwenye akaunt lakin inakua ishaingia
Bonyeza hapo kwenye place betnimejaribu kubet nikaweka game tatu. Sikuona sehemu ya kusubmit slip.
nimejaribu kubet nikaweka game tatu. Sikuona sehemu ya kusubmit slip.
Nafanya hivyo ila mkeka wenyewe siuoni. Nikitaka kuuna nauona wapi?Nenda hapo place bet.