Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,380
- 2,855
Ndugu yangu unajua sana betting, na nakuombea utusue lakini uwe unasimamia maneno yako...ukisema unapumzika pumzika kweli...Mie nakama mwezi napita tu kuona wafanya biashara wenzangu wanasemaje kuhusu Bei ya mazao(Betting vs odds) Ukisema unapumzika then ukacheza mizimu inachukia....
Ahhahahahhhhahahhhahhhhahha