trigeminal
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,962
- 2,385
Wamenikosesha hela awa jamaanimeshakufa hapa dadadaq dak 86 0-0
Wamenikosesha hela awa jamaanimeshakufa hapa dadadaq dak 86 0-0
Mwenyewe wamenikosesha 267,000/= inaniuma sanaWamenikosesha hela awa jamaa
zi pole sana alaves kakukosesha helaNawaomba jamani... Ndio pesa ya mwisho jamani.. Muende sare tu ndani ya dakika 10 za mwanzo
Hahaaaaaaaa! Hii kauli nimeipenda. Naona muda huu kila mtu yupo busy kuweka vema na kosa wakati tuliowatuma wakifanya kaziTulio watuma kazi wapo kazini sasa
Bet won.Athletic bilbao 2+
Krc Genk 2+
Bet won.
Ndio uzuri wa magoli husubiri mpaka mechi iishe
asee Fenerbahche anataka kua mtumishi hewaSibadilishi kitu
Liwalo na liwe