Ndugu yangu unajua sana betting, na nakuombea utusue lakini uwe unasimamia maneno yako...ukisema unapumzika pumzika kweli...Mie nakama mwezi napita tu kuona wafanya biashara wenzangu wanasemaje kuhusu Bei ya mazao(Betting vs odds) Ukisema unapumzika then ukacheza mizimu inachukia....
Mh!Total odds = 3.36. All the best ...
- Thursday 26. May 21:00
Esbjerg fB vs FC Copenhagen
Over/Under Full time 2.5
Bet: O
Odds: 1.59- Thursday 26. May 21:00
Hobro vs Brøndby
Both Teams to Score
Bet: Y
Odds: 1.60- Thursday 26. May 21:00
Aalborg BK vs FC Midtjylland
Double Chance Full Time
Bet: X2
Odds: 1.32
Kitu kama hiki hakiwezekani hata kidogo. Naona unaamua kugawa pesa bure mechi zooooooote hizo hlf sisi tuliwe au?Nawaomba jamani... Ndio pesa ya mwisho jamani.. Muende sare tu ndani ya dakika 10 za mwanzo
Naiona 3+ kwenye hiyo mechi mkuu ... lakni HJK atashinda navyoona.
Hapo kwenye Genk ni issue..wanaweza wasifungane maana mechi ngumu sana na muhimu kwa wote.Athletic bilbao 2+
Krc Genk 2+
Watafungana sanaHapo kwenye Genk ni issue..wanaweza wasifungane maana mechi ngumu sana na muhimu kwa wote.
Alaves win
Fenerbahche Win
Leganes 2+
Zaragoza 2+
nimeshakufa hapa dadadaq dak 86 0-0Hawa azberjan vs Andorra naombea wapate goal kipindi cha pili
nimeshakufa hapa dadadaq dak 86 0-0Hawa azberjan vs Andorra naombea wapate goal kipindi cha pili
bas cna hata hamu.Hii mechi ya mi AZERBEJAN sijui,ishakua jipu tyr,yaani mtu unajipinda kuunda mkeka matamu lakini mpuuzi fulani kwa makusudi hatui hata goli 2.