Mechi IPO saa saa NneGame ya ufaransa nadhani imehairishwa, sheria za premier vpi??Naweza iondoa muda wake wa kuanza bado
Chief nimeweka Sweden & France nmewapa ushindi wa kawaida. Ila roho ilikuwa inasita sn kwa Sweden ... nawasiwasi nae sn
Mbona inachezwa??Game ya ufaransa nadhani imehairishwa, sheria za premier vpi??Naweza iondoa muda wake wa kuanza bado
Mpira haujaisha kaka na mm leo nipp mchezoni tena. Japokuwa sijabet mm kuna mtu nimemfundisha kubet.Huyu Sweden nlihisi tu atakuwa jipu ... anaelekea kuchana mamaaeeee 78' Sweden 0-0 Slovenia
Goli mbili zipoMpira haujaisha kaka na mm leo nipp mchezoni tena. Japokuwa sijabet mm kuna mtu nimemfundisha kubet.
Tumeweka mechi ya ufaransa 2+ jamaa katia kilo tatu
20min bet wonMpira haujaisha kaka na mm leo nipp mchezoni tena. Japokuwa sijabet mm kuna mtu nimemfundisha kubet.
Tumeweka mechi ya ufaransa 2+ jamaa katia kilo tatu
Mpira haujaisha kaka na mm leo nipp mchezoni tena. Japokuwa sijabet mm kuna mtu nimemfundisha kubet.
Tumeweka mechi ya ufaransa 2+ jamaa katia kilo tatu
Chief nimeweka Sweden & France nmewapa ushindi wa kawaida. Ila roho ilikuwa inasita sn kwa Sweden ... nawasiwasi nae sn
Yaani hizi friendly game ni tatizo hasa timu kubwa wanacheza friendly kweli wala hawataki kutoa jashokumbe next time roho ikisita naachana na hiyo fixture. Huyu Sweden leo nlimuweka kishingo upande kumbe km nlihisi yatakayokuja kutokea ... mxiuuuuuuuu
Dk ya 27, bet worn jamaa kapata elfu themanini hapa amefurahi sana. Wacha aanze kula na kuliwaMpira haujaisha kaka na mm leo nipp mchezoni tena. Japokuwa sijabet mm kuna mtu nimemfundisha kubet.
Tumeweka mechi ya ufaransa 2+ jamaa katia kilo tatu
Mimi roho ilisita sana kwa France. Sio mbaya wacha niendelee kubet za jero jero manake hata timu tatu tu mchawi hachezi mbali. Nimeondoa bajeti ya soda nimehamishia kwenye kubet....kwanza soda zina madhara kwa afya.Huyu Sweden nlihisi tu atakuwa jipu ... anaelekea kuchana mamaaeeee 78' Sweden 0-0 Slovenia
Aaaaha! Mwambie sio kila siku jmatatuDk ya 27, bet worn jamaa kapata elfu themanini hapa amefurahi sana. Wacha aanze kula na kuliwa
Mimi roho ilisita sana kwa France. Sio mbaya wacha niendelee kubet za jero jero manake hata timu tatu tu mchawi hachezi mbali. Nimeondoa bajeti ya soda nimehamishia kwenye kubet....kwanza soda zina madhara kwa afya.
Duh! hizi stake za kimaskini ..ila tunashukuru kwa yoteView attachment 352284
Muhindi ndivyo alivyo. Ukiweka ya kutest zali unakula. Ungeweka laki uone moyo wake.Duh! hizi stake za kimaskini ..ila tunashukuru kwa yoteView attachment 352284