Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,955
- 2,489
Uwe unatupia mikeka yako na utupe somo kidogo maana wengi wetu hatuna ufaham jinsi izo gem za basket/volleyball zina vyo kwendaWadau njoeni huku mbona mtaji unapatikana, achaneni na mpira huko kila siku mtakuwa mnapasuka.
Nifundishe mkuu. Manake tumeng'ang'ania football hatukomi.Wadau njoeni huku mbona mtaji unapatikana, achaneni na mpira huko kila siku mtakuwa mnapasuka.
Mdgo mdgoNimekuwa mfuasi wa single na double bet saiz maana ukiweka nyingi kila fei ngumi za uso
Kaka tuko tayari kukufuata ila wageni upande huo. Tupe shule pleaseWadau njoeni huku mbona mtaji unapatikana, achaneni na mpira huko kila siku mtakuwa mnapasuka.
Ata mm sio mzoefu sna wa Basket ila nachofanya napitia Head 2 Head zao, afu mostly naweka total points over.Kaka tuko tayari kukufuata ila wageni upande huo. Tupe shule please
Niangalia over yenye point ndogo ndio ninayoiweka atleast team mbilNaona sijui over 136.5, 174.5, 153.5.. Ndo hizi mkuu?
Poa mkuu. Noted!Niangalia over yenye point ndogo ndio ninayoiweka atleast team mbil
Tatizo hili lipo kwangu piaNimeweka then nkasave na kuupdate then nkienda kwenye deposit inaniambia no associated number
Ata mm sio mzoefu sna wa Basket ila nachofanya napitia Head 2 Head zao, afu mostly naweka total points over.
Kwa kwel hayo ndio matunda yake. [emoji39]
Ata mm sio mzoefu sna wa Basket ila nachofanya napitia Head 2 Head zao, afu mostly naweka total points over.
Kwa kwel hayo ndio matunda yake. [emoji39]
Yeah, muda mwingine nachezaChief, huwa unacheza 'singles' kwenye Basketball pia?
Huwa naangalia kwenye application ya Flashscore inaonyesha live score zote. Download huichek nadhani utaipendaHizo head to head unazipita kwenye website gani?
malale leo nakufuata wakubeti tumechoka loss tunataman faida kama inawezekna kula pesa kwa nn tusilee coz raha ya betting ni kumla kanjibah mzunguYeah, muda mwingine nacheza
hongeraaaa naon mtaji huoNimekuwa mfuasi wa single na double bet saiz maana ukiweka nyingi kila fei ngumi za uso
unaona head to head zao kwa website gan?Ata mm sio mzoefu sna wa Basket ila nachofanya napitia Head 2 Head zao, afu mostly naweka total points over.
Kwa kwel hayo ndio matunda yake. [emoji39]