Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapana Sumve2015, sio kipindi cha kwanza ... hiyo ni Full Time results.
Niliiona mkuu full time results N ilikuwa na 1.6 na Y ilikuwa na 1.8...hiyo kacheza GG kipindi cha kwanza ndo maana nimemwambia anaroho ngumu..hehe

Nadhani wakati mwingine kanjubai anatumia dawa, kunahaja ya kutembelea wazee wa wazazi wetu aisee.
 
Hiyo aliyoicheza ni 1Y, maana yake timu ya nyumbani ishinde na pia timu zote zifungane.
 
Niliiona mkuu full time results N ilikuwa na 1.6 na Y ilikuwa na 1.8...hiyo kacheza GG kipindi cha kwanza ndo maana nimemwambia anaroho ngumu..hehe

Nadhani wakati mwingine kanjubai anatumia dawa, kunahaja ya kutembelea wazee wa wazazi wetu aisee.
mkuu hiyo option ni kwamba wafungane, na home team ishinde, ni full time, hadi sasa spain anaongoza
 
As it is unahitaji goli moja tu la S.Korea ... hadi hapo game ilipofikia, Bet is half won. All the best chief.
Kidogo tu niicheze under 2.5 hii game, saizi ningekuwa nimeyabinya aisee, ufaransa na Nigeria walinitia adabu..hehehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…