Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,626
- 4,327
Yaan leo sina hamu, Russia nao wananichania mkeka wanafungana dak ya mwisho aisee na niliwapa under 2.5...aaarghhhahahahahahahahahahah !!! daaaah umenchekesha kinoma Sumve2015
Yaan leo sina hamu, Russia nao wananichania mkeka wanafungana dak ya mwisho aisee na niliwapa under 2.5...aaarghhhahahahahahahahahahah !!! daaaah umenchekesha kinoma Sumve2015
Yaan leo sina hamu, Russia nao wananichania mkeka wanafungana dak ya mwisho aisee na niliwapa under 2.5...aaarghh
Mechi ilikuwa ngumu ile so haingeweza kuwa na magoli mengi..Unawapaje Urusi 2.5 kwa mfano? [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyuma yako tufe woteBelgium vs Finland over 2.5 goals odds 1.62
Poland vs Netherlands total goals 2+ odds 1.33
Safe bet 100%
Saalfeldeh sasa sifa kida cha kumpiga mwenzake Tisa ni nini khaHawa Austria wanatoa 2+ na 3+ kama hawana akili vzr ... yani hapa km nanyi mliweka wadau pana pesa ... hebu check hata half time bado.
View attachment 352772
WON.
Duh..pole mkuu, naona mkeka weshachana hao waIsrael wa kwanza kabisa.
Yani huruma hakuna kabisa ... daaah !!! hahahahaha
Mi nimeshatupia 10K kwa basketball ... ngoja nipime upepo wa huku nao.
View attachment 352722
Yule jamaa wa basketball ushukuliwe sana hatimae namim nmeamka mkeka umetik japo kapesa kadogo nlitia ili nione kama ntampiga mgindi....sasa leo kazi moja tuu
HahahahaaMhindi ukimjarb unamla
Sasa cheza umakini uone
Wakuu Ukibet Both Team To Score Second Half.Timu moja ikapata goli kipindi cha kwanza na chapili na timu nyingine ikapata goli kipindi cha pili vp unakuwa umewin au lose
Wakuu Ukibet Both Team To Score Second Half.Timu moja ikapata goli kipindi cha kwanza na chapili na timu nyingine ikapata goli kipindi cha pili vp unakuwa umewin au lose