mtanzania10
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 271
- 81
OK NILIKUWA NADHANI NI LAZIMA KIPINDI CHA KWANZA WATOKE SULUHU ISIWEPO TIMU YOYOTE YA KUFUNGA GOLIWewe si umesema "Wafungane kipindi cha pili" na kweli wakafungana kipindi cha pili (yaan kila timu ikapata goli kipindi cha pili).......sasa kipindi cha Kwanza kinakuhusu nini!!!!
Maelezo yapo wazi sana,
Kama unataka kusaidiwa hadi jibu...hahahaha
Na jibu ni "WIN"
HAHAHAH,pamoja mkuu.