dadadq mchawi mmojs tu cjui katoka wap??View attachment 353253
Shuti limegonga mwamba wa juu!kamtaji kaleeee kamepotelea mbali..
Green Gully Win/Draw
China Win
U.A.E Win
View attachment 353269
Bembeleza mtaji hii.
Buddy kwa nn tena umerudi huku kwenye lundo la mechi?Huyu Denmark nae ni jipu ... anashindwa kumpiga Bosnia & Herzegovinia ... grrrrrrrr
kamkeka kalikuwa kanaenda vzr kabisa ... mxiiiiiuuuuuuuuuuuu
View attachment 353290
Buddy kwa nn tena umerudi huku kwenye lundo la mechi?
Leo ni mwendo Wa both team score tu..
Ningekuwa nasubiri mechi ya Thai vs Syria kama sio sifa za hao kina Shinji.Aisee betting sometimes ni ngumu sn, mara nyingine ukiwapa 2+ hawatoi, ukiwapa 2-6 wanataka sifa na kupitiliza .. Ona sasa Japan kampiga mtu 6-2 dk ya 86.
Mtaji umegoma kubembelezeka ... pole sn mzazi.
Yaani huwezi amini nimemfuata Jordan na point zake nyingi dhidi ya U.A.E hajaniangusha,sasa hivi nabana hapa ili matokeo ya China na Singapore yabaki kama yalivyo niianze weekend vizuri kabisa.