Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Jordan walipewa 5.0 Mkuu.
Jordan walipewa 5.0 Mkuu.
mr q naomba unisaidie namba za premier betting nimeweka pesa jana mchana mpaka now haijaingia. msaada na kwa yeyote aliyonayo wakuu pages zipo nyingi nami sio mwenyeji sana wa kundi hili ko hata kama mliwahi kutoa sijajua ni page ganiall the best bro
attach huo mkeka tuone.Naomba ufafanuz wenu wadau ,nmempa China ushind wa both halves na kashinda vipind vyote lakin lakin nmewekewa bet lost WAP nmekosea wadau ,au mkeka bet wameniibia mapema.
BET WON HONGERA.Thailand Vs Syria Y
Kumbe mechi ilienda 120 duh.Hiyo ni bet lost kiongozi,HT CHINA alishinda 2-0,lkn SECOND HALF amedraw kwa 2-2.
ebu nipe odds 2 nitembelee nyota ako
Napata shida ku-login Meridian...
Tatizo hili ni la wote au?
Kumbe mechi ilienda 120 duh.