Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sawa mkuu...
Ntapost mrejesho Euro ikiishaa.
Waktoa mapov kwa nn ckuipost,ntakutag


Hahahahah ... eti "mapov" ... teh teh teh .. ebana hiyo kijani nlijua ushapiga, ss nkijuiliza Euro mbona haijaanza ndo nikawa sipati picha.
All the best Chief
 
hizi figisu za meridian zimeanza lini? nashinda kusubmit mkeka.
 
Hahahahah ... eti "mapov" ... teh teh teh .. ebana hiyo kijani nlijua ushapiga, ss nkijuiliza Euro mbona haijaanza ndo nikawa sipati picha.
All the best Chief
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ingekua ishatik, mapovu O.G ungeyaona..
Tnx mkuu
 
"Some quotas have been modified"

ishakuwa tabu!
 
hizi figisu za meridian zimeanza lini? nashinda kusubmit mkeka.
hawa watu wamekosea kuweka odds kubwa kwa baadhi ya timu kama romania, colombia, etc....ndiomaana wameblock tusibet kwa kuogopa kuliwa....manina zao!
 
Asante sana kamanda, kumbuka kufuata ushauri wangu, nimeumia sana leo nilivyoona mkeka wako. Sikujui hunijui lkn mhindi sio ndugu yetu kabisa


Hahahah ... kabisa aisee! narudi kwenye mastake yako hayo. Saiv nafanya uchambuzi nipate odds 3 za kesho asbh nitupie 100K (jiwe)
 
Wa Kusoma, we ni mkalii ... hao wawili wa juu wameshakuwekea green ... anasubiliwa Dundalk tu ... BIG UP
Sala zako ziendelee tu.
Lkn mtaji niliugawa mara tatu nikawekeza tena kwa

Marseille win
Boulgine win
Charteourox
 
sure na mm nimejaribu kulogin saiv naona kwikwi ... kutakuwa na watu wengi wanajaribu kulogin kuandaa mikeka ya kesho. Hahahaha
mkuu, magumashi bado yanaendelea.....
upload_2016-6-3_22-2-50.png
 
Back
Top Bottom