Wa kusoma
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,454
- 2,984
Usisahai kunitupia kuniquote
Hahahah ... kabisa aisee! narudi kwenye mastake yako hayo. Saiv nafanya uchambuzi nipate odds 3 za kesho asbh nitupie 100K (jiwe)
Usisahai kunitupia kuniquote
Hahahah ... kabisa aisee! narudi kwenye mastake yako hayo. Saiv nafanya uchambuzi nipate odds 3 za kesho asbh nitupie 100K (jiwe)
mkuu, magumashi bado yanaendelea.....
View attachment 353452
Haka kalikuwa kananisumbua ila nishakajulia, ukiweka mkeka ukaona kanatokea badili nenda kwe WEBSITE VERSION kule kwe mkeka kwa chini kuna sehem imeandikwa ACCEPT ANY CHANGES weka tiki submit haugomi"Some quotas have been modified"
ishakuwa tabu!
Hapa Nina Maana Hata Kama Mechi Iko Dk Ya 70 Unaruhusiwa KubetKasoro M-bet
KUNA INSHU HII NILIULIZA SIKUPATA MAJIBU UKIONA KWENYE BETING WANEANDIKA RESULT/BOTH TEAM TO SCORE NA MACHAGUO YAKAWA 1N,XN,2N HIYO INAKUWA NA MAANA GANI
Daaah Dundalk kashafanya yake, inakuwaje wanashindwa kutoa 2+ ... cjui nilieeeee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kaka kweli hapa naamin betting ni ngumu #HATUKOMI
Acha kbs aisee ... nimeacha timu kibao zilizotoa 2+ nkamfuata Dundalk nae kazingua ... daaa [emoji134]
Imeniuma kinyama hiyo mechi though sikucheza, poleni sana wakuu, zile mbili kipindi cha kwanza tu zishatiki...dahDaaah Dundalk kashafanya yake, inakuwaje wanashindwa kutoa 2+ ... cjui nilieeeee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Izo option zimesha fafanuliwa vizuri tuu page chache zilizopita...tuache uvivu wa kusoma jamani pitia page ambayo uliandika ilo swali kisha anza kusoma page zilizo fatia taratibu tuu utaona izo maana zakeKUNA INSHU HII NILIULIZA SIKUPATA MAJIBU UKIONA KWENYE BETING WANEANDIKA RESULT/BOTH TEAM TO SCORE NA MACHAGUO YAKAWA 1N,XN,2N HIYO INAKUWA NA MAANA GANI
KWENYE UZI HUU HUUMkuu utakuwa husomi posts, mbona niliiandika na kufafanua vzr kuhusu hizo options???
Hivi search button wengine hawaioni yaani maswali ni Yale Yale. Tuache uvivu...Izo option zimesha fafanuliwa vizuri tuu page chache zilizopita...tuache uvivu wa kusoma jamani pitia page ambayo uliandika ilo swali kisha anza kusoma page zilizo fatia taratibu tuu utaona izo maana zake
inategemea jana nimechagua 1.14 ,1.16 mbona zipo....imeniua timu moja ya ufaransa CHATEOUROUX.... katika timu 21..... kwa 5000 ikaleta 92000Odds zake ni 1.05