Sanga Imma
Senior Member
- Apr 8, 2016
- 177
- 73
Vp maendeleo mkuu. Mimi uliwahi kubakia timu moja ya mwisho nikapigwa sina hamu kabisa.View attachment 353083 Muniombeeni mkeka wakwanza nimekosa umebaki huu bado tim 3 nipate laki 2
Tulishapiga marufuku na stories za wassap hapa kama huwezi kupata mikeka hapa nenda kaanzishe Uzi wako utafute watu wako wa wassapTatizo akili zako ni za mwendo kasi
Mlipiga marufuku na nani wewe zumbukumbu wakati GROUP lina memba kibaoTulishapiga marufuku na stories za wassap hapa kama huwezi kupata mikeka hapa nenda kaanzishe Uzi wako utafute watu wako wa wassap
Fungua Uzi wako sio kudandia gari kwa mbele...unawajua watu Wote??watu tunamsaka mhindi we unaleta mambo ya whassap...fyuuuuMlipiga marufuku na nani wewe zumbukumbu wakati GROUP lina memba kibao
Sikumbuki ni lini Tz ilifungwa nyumbani mechi yeyote ya kufuzu
Daaah!pole aiseeh! Nimeona hapo kwa Tz pesa IPO kwenye double chance tena odds bado ni kubwaBan yangu imeisha mazeee ..
3/3Kulala bila mkeka ngumu sanaaa
Jah bless
View attachment 353092
Anayejua matokeo ya niliowapigia mistari tafadhari maana nimesaka kwa keywords zote sioni kitu.Niliowazungushia ndo wametoka kuanza..
huu mkeka hapo kwa torns kashinda 1View attachment 353092
Anayejua matokeo ya niliowapigia mistari tafadhari maana nimesaka kwa keywords zote sioni kitu.Niliowazungushia ndo wametoka kuanza..
bet won3/3
1515 03-06 03:00 Palmeiras-Gremio
Total Goals0-3 1.18
1513 03-06 03:00 Flamengo-Vitoria BA
Final Score1
1.52
1512 03-06 01:30 America MG-Ponte Preta
Total Goals2+
1.38
Total odd2.48
Ndio mkuuVP KUNA BETING SITE UNAYOWEZA BET HUKU MECHI IKIWA INAENDELEA
Ndio mkuu
Mkeka bet
Meridian
Premier
Nadhan n kampun zote zinafanya live betting