Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu Ukibet Both Team To Score Second Half.Timu moja ikapata goli kipindi cha kwanza na chapili na timu nyingine ikapata goli kipindi cha pili vp unakuwa umewin au lose
 
Yule jamaa wa basketball ushukuliwe sana hatimae namim nmeamka mkeka umetik japo kapesa kadogo nlitia ili nione kama ntampiga mgindi....sasa leo kazi moja tuu
 
Mhindi ukimjarb unamla
Sasa cheza umakini uone
 
Wakuu Ukibet Both Team To Score Second Half.Timu moja ikapata goli kipindi cha kwanza na chapili na timu nyingine ikapata goli kipindi cha pili vp unakuwa umewin au lose

Utakuwa umeloose, ila ungesema kwa game nzima itakuwa win!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…