Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kashinda ghana. wazee wa kurudia timu moja mikeka sita mlikua mnawaza muanze kubet upya.
 
kashinda ghana. wazee wa kurudia timu moja mikeka sita mlikua mnawaza muanze kubet upya.
mkuu, huyo ghana alikuwa wapi mbona nimemtafuta hapa meridianbet sikumpata? huyu kanjibai wa meridian mpuuzi sana...ameiondoa kwa makusudi.
 
mkuu, huyo ghana alikuwa wapi mbona nimemtafuta hapa meridianbet sikumpata? huyu kanjibai wa meridian mpuuzi sana...ameiondoa kwa makusudi.

atakua alikuwepo tu labda hukumwona. maana leo mm nakomaa na m bet tu.
 
wakorea wababe sana..ubabe wa makombora ya nyuklia wamehamishia uwanjani...czech republic ashachezea 2-0
 
Jumapili 05. Juni 18:00
Benin vs Equatorial
Guinea
Match Result Full Time
Bashiri: 1
Odds: 1.34
Jumapili 05. Juni 19:00
Liberia vs Togo
Match Result Full Time
Bashiri: 1
Odds: 2.32
TOTAL ODDS 3.11
 
Jumapili 05. Juni 18:00
Benin vs Equatorial
Guinea
Match Result Full Time
Bashiri: 1
Odds: 1.34
Jumapili 05. Juni 19:00
Liberia vs Togo
Match Result Full Time
Bashiri: 1
Odds: 2.32
TOTAL ODDS 3.11
Benin imeahirishwa
 
Mkuu Buddy, We mkaaali.
Nilikufata mkeka wako wa asubuhi,
Mda si mrefu Burkina Faso katoka kufunga mahesabu.

Hahahahahah,Salute kwaako.



Hahaha ... pamoja sn mkuu, nmefurahi km umepata ya bia tumalizie weekend. Mi Ghana kanivuruga bora ngempa ushindi wa moja kwa moja
 
1465141882686.jpg
nilimuamini sana Czech Rep
 
Back
Top Bottom