Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Good morning ... !!

  • Sunday 05. June 10:00
    Rockdale City Suns vs Hakoah Sydney
    Over/Under Full time 2.5
    Bet: O
    Odds: 1.39
  • Sunday 05. June 10:00
    APIA Leichhardt Tigers vs Parramatta
    Over/Under Full time 2.5
    Bet: O
    Odds: 1.39
  • Sunday 05. June 09:00
    South Melbourne vs Northcote City
    To Win Both Halves
    Bet: 1
    Odds: 2.16
------------------------------------
Total odds = 4.17


BET Lost !!! grrrrrrrrr
 
Ngoja nitest tena. Reus win, Ghana win, Zimbabwe win, new Caledonia win, Busan I Park win, ansan muguhwa win. Hapo nachepuka leo naweka buku. Maana hela zote za jana unaweza ukampa muhindi tena.
 
Mkuu naona baadhi zimeahirishwa


Sio mkeka huu mkuu ... nlirusha mikeka miwili. Sasa ule wa kwanza ndio nimeangukia pua japo timu mbili zimehairishwa. Ila hiyo moja iliyochezwa nlimpa South Melbourne ashinde vipindi vyote, yeye kashinda kipindi cha kwanza 2-0 na kipindi cha pili ametoka 1-1 (ushindi wa jumla 3-1)
 
Buddy vp hao waliohairisha mkuu mana nimebetia m bet nyumban ya mwezi sijui inakuwaje ndo watarudishia hela yangu ama.
 
upload_2016-6-5_12-14-43.png

M-Bet wamenipa kamtaji jana kha!
 
3001 05-06 18:00 Isloch-Slavia Mozyr
Draw No Bet1
1.63
2252 05-06 16:00 Katowice-Wisla P.
Draw No Bet2
1.79
2924 05-06 18:30 K P V-KooTeePee
Final Score1
1.71
2922 05-06 18:30 GrIFK-Jazz
Final Score1
1.88
0770 05-06 19:00 Ranheim-Mjondalen
Double chance1X
1.26

Total odd11.82
 
Buddy vp hao waliohairisha mkuu mana nimebetia m bet nyumban ya mwezi sijui inakuwaje ndo watarudishia hela yangu ama.



Cjajua utaratibu wa m-bet upoje ila meridianbet wanakurefund hela yako (= odd 1) ... mkekabet wao wanasubiri saa 24 km hiyo fixture haijapangwa kuchezwa lini wanakurefund.
 
wadau haya matimu ya kiafrika yamekaaje? mimi nayaogopa sana.
 
Back
Top Bottom