Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

sio vizuri kulala bila mkeka hata mmoja
upload_2016-6-4_14-6-48.png
 
Alamsiki wadau ...

  • Sunday 05. June 02:30
    Haiti vs Peru
    Match Result Full Time
    Bet: 2
    Odds: 1.55
  • Sunday 05. June 02:30
    Corinthians vs Coritiba
    Match Result Full Time
    Bet: 1
    Odds: 1.36
  • Sunday 05. June 02:30
    Chapecoense vs Fluminense RJ
    Double Chance Full Time
    Bet: 1X
    Odds: 1.31
  • Sunday 05. June 03:00
    Atletico GO vs Bragantino
    Match Result Full Time
    Bet: 1
    Odds: 1.70
  • Sunday 05. June 03:00
    Avai vs CRB
    Over/Under Full time 1.5
    Bet: O
    Odds: 1.30
--------------------------
Total odds = 6.1



Bet Won !!!
 
Dah ******** Brazil yan wewe mbwa ni wakunifanyia hivyo Mimi kweli hata hawa mataq wanashindwa kufunga hata gol moja. Ama kweli nimeamini sasa nina gundu hata sijielew yani ningekuwa na uwepo ningewa ningewafi.. Kra pevu pevu wote haiwezekan match mzima hata goal moja msifunge agrrrr.
 
Dah ******** Brazil yan wewe mbwa ni wakunifanyia hivyo Mimi kweli hata hawa mataq wanashinda1 kufunga hata gol mmoja. Ama kweli nimeamini sasa nina gundu hata sijielew yani ningekuwa na uwepo ningewa ningewafi.. Kra pevu pevu wote haiwezekan match mzima hata goal moja msifunge agrrrr.
Niliwapa wapate gol 1 kipindi cha pili
 
Nimeamka mwepesi sana ndo nimefungua mkeka
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kanji knimekuta kaniachia ki laki moja changu daa sijui niende kanisani ila nimechelewa
✍️✍️✍️✍️✍️✍️ngoja nigonge mkeka mpya mapema
 
Nimeamka mwepesi sana ndo nimefungua mkeka
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kanji knimekuta kaniachia ki laki moja changu daa sijui niende kanisani ila nimechelewa
✍️✍️✍️✍️✍️✍️ngoja nigonge mkeka mpya mapema
usisahau kuutupia tudese.
 
Buddy kama nakuona vile. Hongera sana. naona waustralia wako wameanza mapema sana leo.


Asante sn Chief ... aisee Australia jana wamenitenda sn. Saiv bado najaribu kuangalia upepo kabla cjatupia, la sivyo namrudishia Kanjibay yoote nliokula jana.
 
Back
Top Bottom