Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Samatta kaamua kuninyima mia 4 hivi hivi. Ngoja nikajilipue handball maana mpira wa miguu lazma kunamchawi atatokea.
 
Hali ni mbaya sana wadau ... nimetupia 50K, ngoja nione na hapa tena.

  • Saturday 04. June 19:00
    Germany vs Hungary
    Match Result Half Time
    Bet: 1
    Odds: 1.63
  • Saturday 04. June 18:30
    Sao Tome e Principe vs Cape Verde Islands
    Match Result Full Time
    Bet: 2
    Odds: 1.32
  • Saturday 04. June 16:00
    Burundi vs Senegal
    Match Result Full Time
    Bet: 2
    Odds: 1.59
-----------------------------
total odds = 3.42



Bet Won !!

At least confidence imerudi kdg.
 
Maombi yenu plz kila mtu kwa imani yake ili mechi ys Siera lione vs Sudan itoe 2+ nile 2m

Kwenye sita amebaki yeye tu
 
Maombi yenu plz kila mtu kwa imani yake ili mechi ys Siera lione vs Sudan itoe 2+ nile 2m

Kwenye sita amebaki yeye tu


duuh kumbe game iko dk ya 82 !!! ... hapo unahitaji muujiza. Ila hali ni tete.
 
Wakusoma tunakuombea yani hapa nimebana pu**mb nasali na nafanya meditation kwaajili yako ukila wewe tumekula sisi kwa kumkomesha kanjibay
 
Wakusoma tunakuombea yani hapa nimebana pu**mb nasali na nafanya meditation kwaajili yako ukila wewe tumekula sisi kwa kumkomesha kanjibay


Haswaaaa ... maana huyu ms**ge anatupiga za uso mnooo.
 
Noo sierra anaongoza moja though time imesepa sana, 88'

Basi flashscore.com imeni-mislead ... wanaonyesha 0-0

upload_2016-6-4_21-31-40.png
 
Naona ishi imegoma. Sijui nilinuweka wa nini huyu. Eti nilimtoa German sbb ya odd ndogo nikamweka huyu
 
Back
Top Bottom