Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mbona husemi asante Egypt?

Poa wakusoma. Asante Egypt maana naweza nikasema asante Egypt watu wakaniona msaliti kwa kuiua TZ. Mkeka mmoja nimeweka both to score Mwingine nilimuua stars 1st half.
 
Wakuu wale wa Meridian kuna ile option ya Multibet ambayo unaweza kuchagua timu 5 kati ya kumi utakazozipa ushindi,sasa ukisha submit inakuletea odds zake na possible amount to win. Sasa baada ya Mkeka kukubali kwa zile timu zako 5 kushinda amount inayokuja ni tofauti kabisa ya Mkeka kabla haujala nimejaribu kuwapigia simu Meridian wananiambia kuwa eti odds za option ya Multibet zenye kuchagua timu chache kwenye nyingi hazizidishwi Kama odds za kawaida,je hivi hii inakuwaje?
Thats true bto,
Multibet calculations ni tofaut,na wana calculate tofaut..kna graph km fourfigure inayotumika ku calculate multbet,nenda makao makuu wanayo vbandan hua hawana...
.
Kwa ushaur,mkeka wa multibet weka tim 3 alaf zenye odds ya 2.0 na kuendelea alaf chagua multibet ya 2\3,tim mbili zshnde out of three...
Zngne zoote n hasara au kupunguza hasara..
Faida n ndgo
 
Shukurani sana Mkuu nimekuelewa na asante sana kwa ushauri wako.
 
Back
Top Bottom