mark1738
Member
- Apr 30, 2016
- 34
- 24
Naona ishi imegoma. Sijui nilinuweka wa nini huyu. Eti nilimtoa German sbb ya odd ndogo nikamweka huyu
wakusoma pole sana ndugu
Naona ishi imegoma. Sijui nilinuweka wa nini huyu. Eti nilimtoa German sbb ya odd ndogo nikamweka huyu
Mada Fanta ro kanjibayHaswaaaa ... maana huyu ms**ge anatupiga za uso mnooo.
mkuu, DRAW NO BET ina maana gani?6/6
2886 04-06 10:00 Machida Zelvia-Tokushima
Draw No Bet1
1.30
3364 04-06 13:00 Daejeon-Goyang HI
Draw No Bet1
1.22
0443 04-06 16:00 Tanzania-Egypt
Total Goals2+
1.18
2314 04-06 16:00 Thisted-Bronshoj
Draw No Bet1
1.43
2524 04-06 16:00 AB Tarnby-Kolding IF
Draw No Bet2
1.44
0821 04-06 17:00 Dalkurd-Atvidaberg
Draw No Bet1
1.21
Total odd4.66
mkuu, hii ni kampuni gani inayotoa odds kubwa kiasi hiki? ni mkekabet?Hali ni mbaya sana wadau ... nimetupia 50K, ngoja nione na hapa tena.
-----------------------------
- Saturday 04. June 19:00
Germany vs Hungary
Match Result Half Time
Bet: 1
Odds: 1.63- Saturday 04. June 18:30
Sao Tome e Principe vs Cape Verde Islands
Match Result Full Time
Bet: 2
Odds: 1.32- Saturday 04. June 16:00
Burundi vs Senegal
Match Result Full Time
Bet: 2
Odds: 1.59
total odds = 3.42
Mi nna kama wiki sioni ndani mkuuBuddy hatimaye ule mkeka wako amaizing niliudesa umeleta uponyaji kwenye account
mkuu, hii ni kampuni gani inayotoa odds kubwa kiasi hiki? ni mkekabet?
Buddy hatimaye ule mkeka wako amaizing niliudesa umeleta uponyaji kwenye account
Mkeka bet hua wana bonus kweli, nadhani ile slight incliment ya odds hua ni kufidia ile VAT, ni kama wanavofanya meridian Kwa kutoa bonus ambayo inakua almost the same na ile ilitokatwaYap ni mkekabet
Pole mkuuuDaaaaaaaaaaaaahh!!Dakika ya 90 wakat najiandaa kushangilia hawa Alves wamesawazisha na kuchana mkeka
Mkeka bet hua wana bonus kweli, nadhani ile slight incliment ya odds hua ni kufidia ile VAT, ni kama wanavofanya meridian Kwa kutoa bonus ambayo inakua almost the same na ile ilitokatwa
collect me kama nimekosea
Asante mkuu..yaani dahPole mkuuu
Daaaaaaaaaaaaahh!!Dakika ya 90 wakat najiandaa kushangilia hawa Alves wamesawazisha na kuchana mkeka