mchapa shughuli
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 549
- 423
Ni ovyo kabisa.mkuu, haya matimu ya kichina unahitaji uwe na roho ya chuma kuyabetia.....yaani hayatabriki kabisa.
iyo mitimu bora ucheze 2+wadau haya matimu ya kiafrika yamekaaje? mimi nayaogopa sana.
hahahakashinda ghana. wazee wa kurudia timu moja mikeka sita mlikua mnawaza muanze kubet upya.
mkuu, huyo ghana alikuwa wapi mbona nimemtafuta hapa meridianbet sikumpata? huyu kanjibai wa meridian mpuuzi sana...ameiondoa kwa makusudi.kashinda ghana. wazee wa kurudia timu moja mikeka sita mlikua mnawaza muanze kubet upya.
mkuu, huyo ghana alikuwa wapi mbona nimemtafuta hapa meridianbet sikumpata? huyu kanjibai wa meridian mpuuzi sana...ameiondoa kwa makusudi.
wakorea wababe sana..ubabe wa makombora ya nyuklia wamehamishia uwanjani...czech republic ashachezea 2-0
Benin imeahirishwaJumapili 05. Juni 18:00
Benin vs Equatorial
Guinea
Match Result Full Time
Bashiri: 1
Odds: 1.34
Jumapili 05. Juni 19:00
Liberia vs Togo
Match Result Full Time
Bashiri: 1
Odds: 2.32
TOTAL ODDS 3.11
mruke tuu...odd 2 ya liberia inatoshaBenin imeahirishwa
Mkuu Buddy, We mkaaali.
Nilikufata mkeka wako wa asubuhi,
Mda si mrefu Burkina Faso katoka kufunga mahesabu.
Hahahahahah,Salute kwaako.
ishatiki hiohii sio ya kukosa
Belgium vs Norway
Tip: GG
Odds: 2.00