Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kuna mchezaji anaitwa rabim mets ndoo mfungaji wao mkubwa kils mechi lazima ashhinde alitolewa kwa red card na kiungo iumia aisee ila kesho mambo mazuri
 
leo mhindi lazima akae...... dortmund ...ZAVRC...DUNDALK ...MARSEILE...LIEFERING....wote wameshashinda.... namsubiri valencia hapa..... na anaongoza 2-0..... nkatupia la ten..... nasubiri laki na chenji.....
 
msrsele
terek
getafe
zote safi
valencia anaongozs 2 bils ht noe
genk kapigwa moja kibahati.bado hamtaki kunipa credit
 
uliweka sh ngapi
 
Hahha na leo furaha kwangu elfu 18 imenipa laki 1 na elfu nane na pointi(108441)
 
leo mhindi lazima akae...... dortmund ...ZAVRC...DUNDALK ...MARSEILE...LIEFERING....wote wameshashinda.... namsubiri valencia hapa..... na anaongoza 2-0..... nkatupia la ten..... nasubiri laki na chenji.....

Hongera mkuu mi nshafunga mahesabu kwa laki moja na elfu kadhaa. Najipanga kwa kesho lazima tumfilisi muhindi
 
Timu sita tu...... Nimempiga laki..... Nimeshatupia hivi mazeee..... Mkeka mrefu ...kwa buku...mfupi kwa 10......
 
Attachments

  • 2014-08-30--00_41_13.jpg
    34.1 KB · Views: 90
  • 2014-08-30--01_28_52.jpg
    23.9 KB · Views: 80
msrsele
terek
getafe
zote safi
valencia anaongozs 2 bils ht noe
genk kapigwa moja kibahati.bado hamtaki kunipa credit

kufungwa kufungwa tu...... UWE UNAANGALIA NA HEAD TO HEAD ZAO..... wakikutana inakuaje...... GENT na KORTJIK wanafunganafungana hamna mbabe wa mwengine....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…