Leo pumzika maana mhindi anazitamani tena....tamaa ya kupiga haiishiAsantr sana kaka. Napumzika mpaka kesho maana huwa nikila hlf nikacheza tena naishia kurudisha hela yao
ahahahaahhaIran vs Kry 2+ under 45minutes
Odd 2.6
Stake 100,0000
Rerurn 239567
Ngoja nimrudishie laki moja tu
Hahahaaaaaaa! Nimempigaaaaaaaaaa
Iran vs Kry 2+ under 45minutes
Odd 2.6
Stake 100,0000
Rerurn 239567
Ngoja nimrudishie laki moja tu[/QUOTE]
Siku yako leo ... mpigeee vilivyo. Yani umeshaingiza 500K leo tu ... hahahah, betting ukiipatia raha sana. Na kesho fanya hivyo hivyo
Hahahaaaaaaa! Nimempigaaaaaaaaaa
Hivi hii online betting ya premier ukiweka mkeka kuna mahali pa ku tick accept higher odds na accept any odds...hii ina maana ipi?Hahaaaaa. Kaka hii nimeifanya kama utani live bet