Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

usiku COPA AMERCA


Yes, nmemaanisha ni game ngumu kutabiri ushindi wa moja kwa moja. Bora kuwapa magoli mengi kipindi cha pili. Ila hii option haipo mkekabet & m-bet
 
Hii mechi ya australia naomba wafungane wote jamani. maana nimejilipua 30 mechi moja tu ili mtaji usogee.
 
CANADA GG
IFK VARNAMO GG
IFK BROMMAPOJKARNA GG

Hapo wadau nimtoe nani, maana fundi anahitaji mifuko kumi ya cement amalizie kuchapia na hela niliziweka kwa kanjibai.
 
Japan vs Bosnia & Herzegovina
Tip: Over2.5
Odds: 1.55
Full Time Score: ?-?
********************

SAFE: 100%
 
Wadau Mwenye no za SM za primier bet niliweka Jana pesa kwenye account lakin HD sasa haionekan,nmetuma email has ajibu.
 
Back
Top Bottom