Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo



Poland (timu ambayo iko nafasi ya 27 kwenye fifa ranking), wanashindwa kuifunga Lithuania (timu ambayo iko nafasi ya 127 kwenye fifa ranking) huu ni use**ge wa hali ya juu pamoja na Lewandowsk wao ... mxiuuuuuuuuu

upload_2016-6-6_21-52-51.png
 
muhindi katangaza hali ya hatati kutembea nje mwisho sa kumi jioni

anakata mitaji ya watu na anatowesha faida za watu kwa speed kali kama kafumgiwa booster hivi
 
Apa dawa ni kusubir msimu uanze tu pesa zetu zirud haya matimu ya taifa hayaeleweki kabisa,, tunasubir kuweka real madrid , baecelona, man utd , bayern all win stake ya maana kiulaiiini hahahahahaha
 
mie leo nalala bila mkeka. ila kesho natoka kama hivyo.

Vasco da gama win 2.12
Atletico go win 3.34
C R B win 1.69
Avai win 3.68
Ngoja nitafute ten kesho asubuhi then nikiwashe.
 
Mkeka no2 kesho ni

Criciuma draw 45' odds 2.00
Ceara draw 45' odds 2.02
Vila nova draw 45' odds 2.08
hapo naweka buku 5.

Mungu baba bariki mikeka ya watoto wako tunaotafuta usiku kucha ili mkono uende kinywani.
 
mie leo nalala bila mkeka. ila kesho natoka kama hivyo.

Vasco da gama win 2.12
Atletico go win 3.34
C R B win 1.69
Avai win 3.68
Ngoja nitafute ten kesho asubuhi then nikiwashe.
Leo nimepigwa ten, kesho nalipia huu mkeka mapemaaa,
 
Mkeka no2 kesho ni

Criciuma draw 45' odds 2.00
Ceara draw 45' odds 2.02
Vila nova draw 45' odds 2.08
hapo naweka buku 5.

Mungu baba bariki mikeka ya watoto wako tunaotafuta usiku kucha ili mkono uende kinywani.
Nahuu nakopi na kupestiiii, yerewiii
 
mie leo nalala bila mkeka. ila kesho natoka kama hivyo.

Vasco da gama win 2.12
Atletico go win 3.34
C R B win 1.69
Avai win 3.68
Ngoja nitafute ten kesho asubuhi then nikiwashe.
HAWA NI WA BRAZIL MKUU WANAJUA MPIRA KISHENZI NAHISI ATLETICO NA AVAI WATAUCHANA MKEKA MAPEMA
 
HAWA NI WA BRAZIL MKUU WANAJUA MPIRA KISHENZI NAHISI ATLETICO NA AVAI WATAUCHANA MKEKA MAPEMA
Hapo labda Avai mkuu. ila Hao atletico go nawaonaga kupitia bein Sport. Wapo vizuri sana.
 
Back
Top Bottom