Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

d158dbb8ae50e3c8e2492bd5424b5f63.jpg
 
M bet wameniudh sana yan team zilizo hairishwa jana kwenye mkeka wangu badala wanirudishie wamewala lost wakat mechi hazikuchezwa agrrr
Mbet wagumu primier kama ulichagua tim7 zikaonekana 6 umepata 1 imeshimamishwa wanakulipa tim ulizo shida
 
M bet wameniudh sana yan team zilizo hairishwa jana kwenye mkeka wangu badala wanirudishie wamewala lost wakat mechi hazikuchezwa agrrr
Screenshot_2016-06-06-09-05-09.png
Screenshot_2016-06-06-09-04-55.png
Screenshot_2016-06-06-09-05-09.png
Screenshot_2016-06-06-09-04-55.png
Screenshot_2016-06-06-09-04-08.png
Screenshot_2016-06-06-09-03-41.png
Endeleeni kung'ang'ania hukosisi tupo na premier betting tz kodi inasanehewa kupitia bonus
 
Matimu 21 kila siku unakufa na moja.... Ngoja tuanze hizi system mwisho timu 5 , natafuta odds 2.... Turkey na Croatia mechi zao zisitoe goli 3 kipindi cha pili ,Italy na Poland win normal
 

Attachments

  • Screenshot_2016-06-06-09-30-04.png
    Screenshot_2016-06-06-09-30-04.png
    26.2 KB · Views: 42
Matimu 21 kila siku unakufa na moja.... Ngoja tuanze hizi system mwisho timu 5 , natafuta odds 2.... Turkey na Croatia mechi zao zisitoe goli 3 kipindi cha pili ,Italy na Poland win normal
hapo sasa naweza kukufuata.
 
Wadau mkeka bet ni jipu number zao hazipatikani zote!ukituma sms kutoa mpunga haiendi au tatizo ni kwangu tu!
 
CD Moron
Poland
Malaysia
Italy
Halmstads

WIN.
Wakuu hapa Superbet kuna fixture za mechi zote za Copa Amerca na za Euro CUP mpaka tarehe 22 June tupeane maseke basi niweke mkeka mmoja mpaka tarehe hiyo mech zote na za EURO
 
Back
Top Bottom