Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

nkasema sio kesi....hizi ligi za kikapu sizijui acha nichukue highets points possible niwape under, zalgris hakuwahi kufukisha jumla point 160 .... kafika 167 ...kudadadeki point 13 zimepotea... mhindi anabana kimbwa yaniii
 

Attachments

  • basket.png
    basket.png
    10.9 KB · Views: 33
Poland kafanya yake
 

Attachments

  • Screenshot_2016-06-07-07-15-13.png
    Screenshot_2016-06-07-07-15-13.png
    42.6 KB · Views: 28
hawa bulgaria mbona wamepewa odds nying kuliko denmark alaf denmark nikicheki trend yake naona anambwanda tu.
 
hii mechi mm namuua denmark jamani.
Denmark loss
australia(W) win and NG.
Hapo nikiliwa ule mkeka wenye droo wa ligi ya brazil siulipii.
 
Samaha wakuu ushauli hapa wajuu nimekosea kutuma ulikuwa wa jana
 

Attachments

  • Screenshot_2016-06-07-08-14-57.png
    Screenshot_2016-06-07-08-14-57.png
    27.2 KB · Views: 32
Bragantino na Australia wataharibu hao. Bragantino mechi sita za ligi amefunga goli tatu tu alaf yupo mkiani huko. australia hapo cheza magoli mkuu. mechi za kirafiki hizi mapichapicha.
 
Bragantino na Australia wataharibu hao. Bragantino mechi sita za ligi amefunga goli tatu tu alaf yupo mkiani huko. australia hapo cheza magoli mkuu. mechi za kirafiki hizi mapichapicha.
Ok nimekusoma mkuu
 
Bragantino na Australia wataharibu hao. Bragantino mechi sita za ligi amefunga goli tatu tu alaf yupo mkiani huko. australia hapo cheza magoli mkuu. mechi za kirafiki hizi mapichapicha.


Sure, hiyo game ya Australia na Ugiriki siielewi kabisa. Ukicheck kwenye FIFA ranking, Ugiriki iko juu ya Australia. Ingawa mpira unadunda lkn mimi ningecheza magoli.
 
Back
Top Bottom