Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nalala hivi na hawa wa Brazil
Atletico Go -Draw no bet
Vasco Dagama - Draw no bet

Odds 5
Stake 500,000
Win 2,300,000
Win 1,800,000
Hasara 500,000
Probability 95%
 
Nalala hivi na hawa wa Brazil
Atletico Go -Draw no bet
Vasco Dagama - Draw no bet

Odds 5
Stake 500,000
Win 2,300,000
Win 1,800,000
Hasara 500,000
Probability 95%
..haha..duh..mkuu ulisema kwa leo inatosha lakin....kila la kheri [emoji120]
 
Huyu Spain mbona km ananitia shaka ... dk ya 35 hata goli moja hakuna?? asije akaleta mambo ya Poland juzi wkt nimempa "Win both halves" [emoji16][emoji16]
 
Huyu Spain mbona km ananitia shaka ... dk ya 35 hata goli moja hakuna?? asije akaleta mambo ya Poland juzi wkt nimempa "Win both halves" [emoji16][emoji16]


Hahahaha, ameshachana ... kapigwa moja tyr dk 40 ... [emoji12][emoji12][emoji12]
 
Hahahhaa ... Chief inaonekana leo ni cku yako ya bahati ... mpige Kanjibah vilivyo ... cku km hizi hutokea mara moja moja!
Hivi hii online betting ya premier ukiweka mkeka kuna mahali pa ku tick accept higher odds na accept any odds...hii ina maana ipi?
 
Hivi hii online betting ya premier ukiweka mkeka kuna mahali pa ku tick accept higher odds na accept any odds...hii ina maana ipi?
mbona mi sijapaona. Hebu weka scereenshot hapa ili tuchangie viziri
 
Hivi hii online betting ya premier ukiweka mkeka kuna mahali pa ku tick accept higher odds na accept any odds...hii ina maana ipi?
Expect any odds ina maana .... Ukubaliane na ushindi wa muda wowote maana kuna kushinda half time, kishinda second half ..kushinda kipindi chochote.... Hata upande wa magoli no hivyohivyo NAWEKA MSISITIZO " HII YA HIGHER ODDS NI KAMA LIVE BETTING VILE ODDS ZINAVYOPANDA NA KUSHUKA"..... NAFIKIRI NIMEELEWEKA....Ilaaaa nasema tena ilaaa UKICHAGUA HIGHER ODDS ...NI KATIKA CHAGUO LAKO UTAPEWA POINT(ODDS) HIGHEST TO ALL ... KWA SABABU MAKAMPUNI YOTE YANA ODDS ZINAZOENDANA.... ILA KUNA KAMPUNI ZINATOA ODDS KUBWA KULIKO ZINGINE.... SASA UKISHINDA UTAPIGIWA HESABU ZA ILE KAMPUNI YENYE ODDS KUBWA ZAID.....
 
mbona mi sijapaona. Hebu weka scereenshot hapa ili tuchangie viziri
upload_2016-6-7_22-54-39.png
 
Kwa akili zako tafuta timu 5.... Nimepewa bonus nimeibutua hivyo .........
 

Attachments

  • Screenshot_2016-06-07-22-59-02.png
    Screenshot_2016-06-07-22-59-02.png
    28.5 KB · Views: 40
Huyu Spain nimemkwepa sana sababu alikuwa na odd ndogo sana 1.03 huyu Georgia alikuwa na 30 sasa ona. Bora nimemkwepa tu
 
upload_2016-6-7_23-16-7.png

Maombi yenu........bado hao Brazil wa kike tu mkeka ukamilike
 
Hapa mtu akiniambia Spain na Georgia wote wamebeti siwezi kukataa. Maana kwa point alizopewa Georgia first half win kila mchezaji akiweka 1M wanapiga hela za kutumia mpaka Euro inaisha
 
Back
Top Bottom