Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hizi timu za Japan hazitabiriki,kama unaweza cheza magol 2+ au 1+
 
jana nmeweka 50000 kwa spain vasco dagama na cricuma spain kaniua.naombeni mkeka uliotulia nirudishe hela ya ada ya mwanangu
 
Spain vs georgia total goals 4+ odds 1.94
jana nmeweka 50000 kwa spain vasco dagama na cricuma spain kaniua.naombeni mkeka uliotulia nirudishe hela ya ada ya mwanangu

Hahahaha ... polee mkuu. Spain katufanya mbaya sn aiseee au sijui ni trick yao ili watu wawaone wachovu af michuano ikianza wanakaza.
 
Ngumu kumesa unapoa amua kujiwekea tu huku ukisubiri msimu wa mechi.
Mr Q nawezaje kuona slip zangu/mikeka yangu nlocheza ndo nimeanza kutumia premer Jana nimetafuta sijapaona pls anielekeze.
 
Mr Q nawezaje kuona slip zangu/mikeka yangu nlocheza ndo nimeanza kutumia premer Jana nimetafuta sijapaona pls anielekeze.
ukisha login bonyeza sehemu iliyo andikwa

my accoumt itafunguka na kuja maneno yafuatayo
My details
Account overview
Logout

bonyeza hapo kwenye account overview

kisha tafuta sehemu palipo andikwa

All bets
bonyeza hapo kwenye all bets na utaiona mikeka yako yoteeee
 
Thanks in advance mkuu
 
6fc31343ee745bb388e31f5a09606c9e.jpg
mazafanta spain
 
Nalala hivi na hawa wa Brazil
Atletico Go -Draw no bet
Vasco Dagama - Draw no bet

Odds 5
Stake 500,000
Win 2,300,000
Win 1,800,000
Hasara 500,000
Probability 95%

Bet won

Hongeraaa wakusoma hapo atletico kadroo so mzigo unapungua hadi 1m flan hv
 
"Draw no bet" ina maanisha zishindane ila kusitokee Draw....ikitokea Draw, wanakurudishia hela yako.
na vipi kama ktk mchezo mmoja umeliwa na wa pili ikatokea draw (mkeka wa mechi mbili) je, ntarudishiwa hela or ntakuwa nimeliwa?
 
Back
Top Bottom