Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Japan niliwapa 2+ naona wananilipa fadhila ila hawa wakorea wataniharibia mkeka wangu.
Japan niliwapa 2+ naona wananilipa fadhila ila hawa wakorea wataniharibia mkeka wangu.
wajapani leo wanaweza nipa furaha kama Fc Gifu atapata goli moja tu.
Moja moja mkuuKmatare- Kyoto wanaenda kuchana mkeka wangu.
Leo hadi raha bado jef chiba tu lipatikane goli moja mkeka wa pili utiki.
Mie keshachana, karuhusu goli.Kmatare- Kyoto wanaenda kuchana mkeka wangu.
Hii pesa
bet won mkeka wa pili. Jef ameshatoa goli la tatu.
Tayari washaweka sawaKmatare- Kyoto wanaenda kuchana mkeka wangu.
nilisahau kuuweka humu jamani...hii ndio team yangu asee....sasa anaongoza 5-0 half tyme
Jumatano 08. Juni 13:00
Roasso Kumamoto vs
Zweigen Kanazawa
Match Result Full Time
Bashiri: 1
Odds: 2.30
Jipu hili