Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

30df42f54c05998d38b0f1d63fcf6f8c.jpg
042b032dc159e34093890f96171d005e.jpg
916894ea1e49a141212713aac52b8976.jpg
eed26f295c92da010385c485eb4b6fce.jpg
7ab33d7ef5733578d6cb4d6e039a147c.jpg
Hongera mkuu
 
Umefanya kaka?

BRAZIL vs HAITI OVER 1.5 HALFTIME
ECUADOR vs PERU (ECUADOR WIN HALFTIME)

Stake 300,000
Return 1,536,000 Leo muhindi nimemkamua karibu 480K as a profit. Ila sijazoea kujilipu stake kama hyo. Ngoja nizimie alafu kesho nifufuke.
 
Mh! Kweli ulale tu lkn option ulizocheza sio shida sana.

Mimi nimefanya single bet Equador vs Peru 2+
Stake 100,000
Return 148,000
 
BRAZIL vs HAITI OVER 1.5 HALFTIME
ECUADOR vs PERU (ECUADOR WIN HALFTIME)

Stake 300,000
Return 1,536,000 Leo muhindi nimemkamua karibu 480K as a profit. Ila sijazoea kujilipu stake kama hyo. Ngoja nizimie alafu kesho nifufuke.
Equador karuhusu magoli mapema sana.
 
Yah! Ni kweli. Ungetoa 2+ sasa ivi ungekuwa unacheka cheko la jino pembe. Ila half time bado maajabu katika soka hayaishi. Dakika ya 32 sasa.
Kwenye daftari niliweka mkeka miwili 1. Both to score, 2. Over 2.5, baadae sijui shetani gani likaibuka.
 
Pole ndio bet ilivyo. Option unayosita kuweka mara nyingine ndio inatoa. Mi kuna siku nilipanga timu nyingi kwa stake ndogo kimzaha tu zikatiki timu zote kasoro moja ya mwisho ambayo nilikuwa nasita kuiweka.
 
yan kaKa mkeka kidumu ndio unaokoa jamani siku zote. Nilizipa timu za misri zote both to score alaf nikatest na brazil nae, hatimae huo ndio umeokoa jahazi tena niliweka buku 2.
 
BRAZIL vs HAITI OVER 1.5 HALFTIME
ECUADOR vs PERU (ECUADOR WIN HALFTIME)

Stake 300,000
Return 1,536,000 Leo muhindi nimemkamua karibu 480K as a profit. Ila sijazoea kujilipu stake kama hyo. Ngoja nizimie alafu kesho nifufuke.
Bet lost
 
Back
Top Bottom