Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
kikapu
Pole ndio bet ilivyo. Option unayosita kuweka mara nyingine ndio inatoa. Mi kuna siku nilipanga timu nyingi kwa stake ndogo kimzaha tu zikatiki timu zote kasoro moja ya mwisho ambayo nilikuwa nasita kuiweka.
IFK MARIEHAMN WIN 12
CORDOBA WIN 12
TSH 5000, tegemea kushinda m na ushee
Leo nipo mkeka bet.
Bologna, unamaanisha nini hapo kwenye Win 12?
nimeziogopa game za jana afu zote zikatoa under..... Cleveland wamemfanya vibaya Golden state.... 2-1 , kwa game ya leo wakicheza vile Golden State hawana chaoKuna friend match za wanawake, Spain vs Newzland baadae usiku saa 2, hii itakuwa under 130.
nimeziogopa game za jana afu zote zikatoa under..... Cleveland wamemfanya vibaya Golden state.... 2-1 , kwa game ya leo wakicheza vile Golden State hawana chao
ni shida...leo kwenyewe alikuwa butu sanaaa.....Game 4 inachezwa Ijumaa kuamkia Jumamosi kaka, GSW wanaweza kupigwa kama Stephen Curry ataendelea kuwa butu, maana hata zile 2 za kwanza walizoshinda dogo hakuwa fit.
ni shida...leo kwenyewe alikuwa butu sanaaa.....
hapo najifurahisha tu buddy. marienham afungwe 1st half then 2nd half ashinde. na cordoba nae hvyohvyo. nimetest tu 2500 sababu najua haiwez tokea. Huo mkeka wa juu yake nilikosea kukopi usiutilie maanani.
Mkuu leo vipi nasaka odd 4 tuAnhaa, sawa sawa mkuu ... nimezoea kuona 1-2 ... sasa ulivyoweka 12 nikajua ni option mpya. Usiseme haiwezi tokea, anything can happen in football. Thanks buddy & all the best.
Mkuu leo vipi nasaka odd 4 tu
Ngoja nifuate kikapukikapu
Naomba uniunge kwenye whtsapp_betting_group mkuu.Kama upo vizuri njoo whatsapp group ya betting
Niadd mdau 0757839176Kama upo vizuri njoo whatsapp group ya betting