Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu Kwanzia asubuh nalog in premerbet naona tu link ya Ghana imetawala pls mwenye link nyingine aniwekee hapa pls Cc Mr Q,Mtoto wa nzi, bologna
 
Jaluo Nye nimefanikiwa thanks mkuu ila nina majonzi nimekosa kilo 5 na 60 team3
Na mwingine team moja [emoji27]
 
55945d39b174ea0a90af65b22095ea85.jpg
 
Hivi mkeka bet hiyo pesa wanayokata wakati wa kudeposit huwa inaenda wapi jaman? maana mie kila napotoa pesa mkekabet huwa sipati ya kutotela, hii sio sawa hata kidogo, au ni mimi tu wakuu?
 
Back
Top Bottom