Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndio kilichonitokea jana kwa UCAM Murcia niliweka timu kumi na moja but hii UCAM nilisita sana kuiweka badala yake nikaitoa Palmers U20 nikaiweka UCAM ilichonifanya siisahau maana timu zote zilishinda yeye aka draw.
Pole sana mkuu bet haina fomula.
 
Naona kimyaaaaa ... wadau mmeshatupia mbegu mnasubiri kujua kama mavuno yapo au wadudu waharibifu wameshafanya yao. Teh te teh teh
 
Hawa naftan mbona wanawanga jamani. Yan goli moja wanashindwa fungana. Leo ni mwendo wa 0.5 over tu.
 
62' Rakvere JK Tarvas | 0 - 0 | Tammeka Tartu

by thelivescoreapp.com


I need 2+ here
 
Back
Top Bottom