Ombudsman
JF-Expert Member
- Apr 18, 2012
- 3,565
- 3,737
bet wonNimelipuka +3 ya brazil on the first half,.. ngoja nlaleee xaxa
bet wonNimelipuka +3 ya brazil on the first half,.. ngoja nlaleee xaxa
Polee umemrudishia 75%.Uyu kanjibai hafai kabisa.BRAZIL vs HAITI OVER 1.5 HALFTIME
ECUADOR vs PERU (ECUADOR WIN HALFTIME)
Stake 300,000
Return 1,536,000 Leo muhindi nimemkamua karibu 480K as a profit. Ila sijazoea kujilipu stake kama hyo. Ngoja nizimie alafu kesho nifufuke.
ata kwangu tokea saa 11 nataka kulogin inagoma.Meridian wanasumbua kwangu tu, au kwa wote...? Mbna nashindwa kuwaelewa..
Sasa hivi fresh, imekubaliata kwangu tokea saa 11 nataka kulogin inagoma.
ngoja nikaangalie mikeka yangu kama imetoa kitu.Sasa hivi fresh, imekubali
Ukishaingia kwenye accounts yako unaenda kwenye deposit,.. then utachagua tigo pesa au m pesa kisha utaweka kias na kuconfirm then utapewa namba ya muamala ambayo utaitumia baadae kwenye kudepositAnayeweza kudiposit hela premierbeting online jama anielekeze
Mbona web yao zinasumbua mkuu mim toka asubuh siipati. Naambia web not availableUkishaingia kwenye accounts yako unaenda kwenye deposit,.. then utachagua tigo pesa au m pesa kisha utaweka kias na kuconfirm then utapewa namba ya muamala ambayo utaitumia baadae kwenye kudeposit