Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Mkuu, naona na MERIDIAN wameanza kuweka hizo "ACCEPT ODD CHANGE"
 
Thanks Mkuu
 
"Draw no bet" ina maanisha zishindane ila kusitokee Draw....ikitokea Draw, wanakurudishia hela yako.
Mkuu bado cjaelewa, inakuaje sasa bado kila team inakua na odds kwenye hii draw no bet
 


Mfano hapo, Je hata uyo mwenye odd 2.62 nikimfata na akafumgwa na kutokuwepo kwa draw nitakua nime WIN??
 
KWA KUONGEZEA ILI USIWEZE KUPOTEZA LAZIMA TIMU UTAKAYOICHAGUA ISHINDE AU ITOKE SULUHU IKOKA SULUHU UNARUDISHI PESA YAKO BILA FAIDA NA IKISHINDA UNAPATA PESA NA FAIDA IKIWEMO
 
Draw No Bet :
---------------

D1 - Home team wins (void if draw)/Team ya nyumbani ishinde (utarudishiwa hela yako = odd 1 kama watatoka sare)


D2 - Away team wins (void if draw)/Team ya ugenini ishinde (utarudishiwa hela yako = odd 1 kama watatoka sare)
 
Hapa mtu akiniambia Spain na Georgia wote wamebeti siwezi kukataa. Maana kwa point alizopewa Georgia first half win kila mchezaji akiweka 1M wanapiga hela za kutumia mpaka Euro inaisha


Nakubaliana na ww aisee, hawa watu watakuwa walibet kabla ya game. Sheeeenz taipu !!! grrrrrrr [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Angalizo jamani, leo naona wajapani wanacheza. Hapo kuliwa na muhindi njenje.
 
Reactions: pri
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…