nini nduguWe jamaa bana....
nini ndugu
Si huyu jamaa amewapost ndugu zangu....View attachment 355328 Ndugu zake mtoto wa nzi nao wanataka wajifunzekubeti haahhahahah
Hiv hawa mkeka bet mechi ikiahirishwa wanafanyaje?????
Apo we jilipue tu weka stake ya kutoshaa mkuuWadau ushauli wenu nataka kujilipua France vs Romania -double chance,Argentina vs Panama -over 1.5 full time.mawazo yenu kabla kanjubah ajaniokota plz!
Hakikisha ni premier bet Tanzania. Kama umebrowse ya ncho nyingine sever zao hazikutambui. Kwenye adress hakikisha ipo sports.premierbet.com\tz na sio sports.premierbet.com\gh au nyingine yoyoye.Premiere bet
Ukilog in kwa akaunti yao wananmbia customer not available, au ndio u meridian imeingia na huku?
Ufaransa mfate mzimamzima..... Argentina pia unaweza kumfata mzima mzimaApo we jilipue tu weka stake ya kutoshaa mkuu
Shukrani mkuuHakikisha ni premier bet Tanzania. Kama umebrowse ya ncho nyingine sever zao hazikutambui. Kwenye adress hakikisha ipo sports.premierbet.com\tz na sio sports.premierbet.com\gh au nyingine yoyoye.
Mi najilipua mzima mzima. Mkiona kimya mjue mambo ya heart attack...lol!France vs Romania- over 1.5 full time na APO vp wataalam
Mi najilipua mzima mzima. Mkiona kimya mjue mambo ya heart attack...lol!