Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mbona maelezo yanajitosheleza...kuanzia mechi TATU ukishinda na nyingine ulizochagua bado hazijaanza unaruhusiwa kulipwa..
Kwaiyo Bro Kama Nimeweka Mechi Saba Alafu Tano Zimetiki Mbili Zinaendelea Nalipwa Izo Tano Zilizotiki Au Nalipwa Tatu. Tafadhali Naomba Unielekeze Mkuu.
Hii Nzuri Maana Kuliko Kupoteza Hela Kwa Mechi Moja Kati Ya 5 Inaumaga Sana Bro.
 
huwezi kulipwa maana hizo mbili zilizobaki tayari zimeshaanza kuchezwa...labda kama hizo tano ziwe zimetiki halafu hizo mbili zilizobaki ziwe hazijaanza kabisa
 
Nimeishajilipua naona kadili mda unavosonga wanapunguza odds kilichobak APA ni kupiga pambio malaika washuke kwenye mkeka wangu
 
France win
Chile win
Argentne win
Naomba ushauri wenu nataka nizalishe hapa kabla sijamlipa mama mwenye nyumba.
Nna mkeka amebaki ufaransa ... Nasubiri apite .. Niwacheze
Chile argentina
Na double chance wabrazil wawili....
 
Basketball

KK FMP-MEGA LEKS
KK FMP-OVER 82.5
Odd....1.85
LABORAL KUTXA---BARCELONA
OVER 154.5
Odd....1.9
T odd... 3.515
 
Haya hii inahitaji roho ngumu
Chile I2+
Argentina I2+
France I2+
Total odds 15.31
 
nawaza niweke hivi wadau
france vs romania first 10 minutes
corner over 0.5 @ 1.61 stake $50.
ushauri tafadhali.
 
nimeliwa sana saiv nmekosa confidence na kupata ugonjwa uitwao betfobia

Hahahaha ... mimi Dinamo Minsk na yule Minsk mwenzake wamenichania nyooooooooko zao, yani wanashindwa kutoa 2+
 
Ivi hii premierbet hainaga turbopay wadau mna naona kma kuna kamkeka kametiki timu cta bado mbili lkn zilizobaki iz nahic ni majipu tu
 
Hahahaha ... mimi Dinamo Minsk na yule Minsk mwenzake wamenichania nyooooooooko zao, yani wanashindwa kutoa 2+
pole mkuu hamna nanma na muhind ni lazma tucheze ili atoe pesa
 
Back
Top Bottom