Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hiv hawa mkeka bet mechi ikiahirishwa wanafanyaje?????

Mechi ikihairishwa, na ikapangwa ichezwe ndani ya hiyo Wiki, Mkeka utaendelea kubaki hivyo hivyo ukisubiri matokeo......(wiki yao inaanza Monday - Sunday)
 
Premiere bet
Ukilog in kwa akaunti yao wananmbia customer not available, au ndio u meridian imeingia na huku?
 
Wadau ushauli wenu nataka kujilipua France vs Romania -double chance,Argentina vs Panama -over 1.5 full time.mawazo yenu kabla kanjubah ajaniokota plz!
 
Wadau ushauli wenu nataka kujilipua France vs Romania -double chance,Argentina vs Panama -over 1.5 full time.mawazo yenu kabla kanjubah ajaniokota plz!
Apo we jilipue tu weka stake ya kutoshaa mkuu
 
Premiere bet
Ukilog in kwa akaunti yao wananmbia customer not available, au ndio u meridian imeingia na huku?
Hakikisha ni premier bet Tanzania. Kama umebrowse ya ncho nyingine sever zao hazikutambui. Kwenye adress hakikisha ipo sports.premierbet.com\tz na sio sports.premierbet.com\gh au nyingine yoyoye.
 
Asante mkuu yaan nataka nijilipue likipinduka itabid kesho nisaidie maombolezo
 
France vs Romania- over 1.5 full time na APO vp wataalam
 
Majuto Ni Mjukuu.
Mara Ya 5 Mfululizo Mechi Moja Inaninyima Hela *****.
Ngoja Nione Leo.
Ila Mzee Wa Bombay Nitakubahatisha Tu Kama Nlivokuwekea Mkeka Wa Mechi 9 Kwa 2 Ukanipa 72k Yako Kwa Uchungu.
This Is Not Over.
I Swear.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…