juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,485
Kwaiyo Bro Kama Nimeweka Mechi Saba Alafu Tano Zimetiki Mbili Zinaendelea Nalipwa Izo Tano Zilizotiki Au Nalipwa Tatu. Tafadhali Naomba Unielekeze Mkuu.Mbona maelezo yanajitosheleza...kuanzia mechi TATU ukishinda na nyingine ulizochagua bado hazijaanza unaruhusiwa kulipwa..
huwezi kulipwa maana hizo mbili zilizobaki tayari zimeshaanza kuchezwa...labda kama hizo tano ziwe zimetiki halafu hizo mbili zilizobaki ziwe hazijaanza kabisaKwaiyo Bro Kama Nimeweka Mechi Saba Alafu Tano Zimetiki Mbili Zinaendelea Nalipwa Izo Tano Zilizotiki Au Nalipwa Tatu. Tafadhali Naomba Unielekeze Mkuu.
Hii Nzuri Maana Kuliko Kupoteza Hela Kwa Mechi Moja Kati Ya 5 Inaumaga Sana Bro.
Nna mkeka amebaki ufaransa ... Nasubiri apite .. NiwachezeFrance win
Chile win
Argentne win
Naomba ushauri wenu nataka nizalishe hapa kabla sijamlipa mama mwenye nyumba.
Okay Mkuu.huwezi kulipwa maana hizo mbili zilizobaki tayari zimeshaanza kuchezwa...labda kama hizo tano ziwe zimetiki halafu hizo mbili zilizobaki ziwe hazijaanza kabisa
Mbona hukuutupia hapa?Nna mkeka amebaki ufaransa ... Nasubiri apite .. Niwacheze
Chile argentina
Na double chance wabrazil wawili....
Tafuta huko nyuma utauona mnatuchosha ukijumlisha na maumivu ya kupigwa yaan....dahMbona hukuutupia hapa?
Kampuni gani ina odda nyingi hivi?Haya hii inahitaji roho ngumu
Chile I2+
Argentina I2+
France I2+
Total odds 15.31
Niliuweka mdauMbona hukuutupia hapa?
Mbona hukuutupia hapa?
nimeliwa sana saiv nmekosa confidence na kupata ugonjwa uitwao betfobia
pole mkuu hamna nanma na muhind ni lazma tucheze ili atoe pesaHahahaha ... mimi Dinamo Minsk na yule Minsk mwenzake wamenichania nyooooooooko zao, yani wanashindwa kutoa 2+
UmekuaFRANCE vs ROMANIA Y
Stake 40,000
Return 97,600