Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

screen.jpg


Daaah Dinamo na Minsk jamani
 
Devil is a lier ... daaaah, grrrrrrrrrrrrrr

Sijui shetani gani aliniambia nirudie hizi timu kwenye mikeka yangu yote miwili. Mtaji umegoma mamaeeeee

upload_2016-6-11_12-33-59.png


upload_2016-6-11_12-34-12.png


 
Daaaah, confo limeisha kbs ... saiv hata nikiweka timu 1 naweza kuangukia pua tu.

upload_2016-6-11_12-49-0.png


Mtaji umekata officially. Najipanga upyaa ...
 

Attachments

  • upload_2016-6-11_12-50-1.png
    upload_2016-6-11_12-50-1.png
    4.6 KB · Views: 31
Sydney utd
Hakoah Sydney
Bonnyrigg white Eagle
All to win, 2+,12.
Za saa tano na saa sita wakuu Australia
Bonny unaanza kuharibu mchezo sasa ila kwa aliyeweka 2+ anachekelea sasa ikienda vizur wale wa 12 nao watakenua[emoji23]
 
Back
Top Bottom